shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Nasubiri pichaNow ni poa zaid
Nkienda ntakutumia picha
Nasubiri pichaNow ni poa zaid
Nkienda ntakutumia picha
Make arguements without making enemiesBasi tutaongea hapa hapa kidogo kidogo siku hadi siku mpaka tutakapofikia muafaka,
HahahaAaah ataanza na wewe!! mi simoo![]()
Yule nae anataka aheshimiwe kama Mungu, mi simpendi nilisikitika alivyomuua yule mtu alivyosinzia sikuona umuhimu wa adhabu ya kifo.Hahaha
Hamna jamaa uki mheshim yuko peace tuu
Halaf ana penda basketball sana
Hakika, cjui wew kakaNatumai nyie wotee wazima
Habari mkuu
HahahaYule nae anataka aheshimiwe kama Mungu, mi simpendi nilisikitika alivyomuua yule mtu alivyosinzia sikuona umuhimu wa adhabu ya kifo.
Nko vzuri kama mwenge wa uhuruHakika, cjui wew kaka
Vipi mgonjwa ana endeleaj!!?Yule nae anataka aheshimiwe kama Mungu, mi simpendi nilisikitika alivyomuua yule mtu alivyosinzia sikuona umuhimu wa adhabu ya kifo.
Leo ilibidi twende Tumaini kupeleka kipimo alichofanyiwa kwny hospitali nyingine, ila ametoa wazo twende kesho. Mungu anasaidia anaendelea vzuri tu thanks for the concerns.Vipi mgonjwa ana endeleaj!!?
Nilijua tu ndo maana nasema ana roho mbaya na ni mkatili.Hahaha
Hamna hapendi adharauliwe tuu, halaf ana wa wajibisha viongozi
Pia alikuwa ana tafuta namna ya kuwaua tui wale ma jenerali kwani hakutaka kufanya nao kazi tena
Ok, sawa kesho mfanye hivo mwendeLeo ilibidi twende Tumaini kupeleka kipimo alichofanyiwa kwny hospitali nyingine, ila ametoa wazo twende kesho. Mungu anasaidia anaendelea vzuri tu thanks for the concerns.
RealityNixon baada ya kusoma historia yake ni moja ya watu nnao wakubali lakin ni moja ya binadamu wenye mioyo yenye nguvu pia kywah tokea
Kweli aiseeHuyu jamaa alikuwa moja ya binadam wenye baht mbaya duniani
HahahahNilijua tu ndo maana nasema ana roho mbaya na ni mkatili.