Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Haja pinda mdomo bhanaHujajibu swali,
Nimeuliza kuhusiana na kupinda kwa mdomo anaumwa au??
Poz hlooo
Haja pinda mdomo bhanaHujajibu swali,
Nimeuliza kuhusiana na kupinda kwa mdomo anaumwa au??
Yuko poaKumbe hawana undugu??![]()
Ama kweli duniani wawili wawili
Ni dikteta yule ndio maana ananyoa nywele vile kichwa kibaya kama boksi.

Duu pozi zimesababisha amekuwa mlemavuHaja pinda mdomo bhana
Poz hlooo
Labda hutachaguliwa piaMkuu mie nikiwa rais nchi hii wataondoka watu wengi sanaa ndio maana stak uongoz kabsa
Nimeona ukinipa ile milioni ya saluni ntaweka hizo nywele za marehemuYuko poa
Alaf umeiona stail ya nywele hyooo!!?
Cccc jimena
HahahahaNimeona ukinipa ile milioni ya saluni ntaweka hizo nywele za marehemu
HahahaLabda hutachaguliwa pia
Brazilian HairHahahaha
Milioni!!!
Unaenda kununua saluni nzima!!?