Leo katika Historia:
1945 - Bomu la pili atomiki larushwa huko Nagasaki nchini Japan na kuua watu takribani 35,000.
Bomu hili lililojulikana kama " Fat man " baada ya lile la kwanza la August 6 lililojulikana kama " Little boy "
Wataalamu wa mambo wanasema bomu hili ndilo lililomaliza vita kuu ya pili ya Dunia.
Madhara ya bomu hilo yanaitesa Japan na watu wake mpaka leo.