shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HaswaaaLeo katika Historia:
Ni miezi Minne ya Kapuku Forum.
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
HaswaaaLeo katika Historia:
Ni miezi Minne ya Kapuku Forum.
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Leo katika Historia:
Ni siku ya wanawake nchini Afrika Kusini.
Leo katika Historia:
Ni miezi Minne ya Kapuku Forum.
Leo ni siku yetu hivyo hatuna budi kutamba kwa mbwembwe zote.
Sawa bombaSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Miezi minne ya Makapuku, tukutane kesho.
Bye!!
Viongozi wengi wapo hivyoJamaa yule wa Korea ana roho ngumu sana uso wake na matendo yake haviendani kabisa
MorningMorning family
Mko salama huko kakaMorning
Hata uso wake pia haulipi, rais gani ana panki utadhani Shaba Ranks??Jamaa yule wa Korea ana roho ngumu sana uso wake na matendo yake haviendani kabisa
Duuuuuh Shaba Rans hahahaa!!Hata uso wake pia haulipi, rais gani ana panki utadhani Shaba Ranks??



Tena ni shenzi kabisa, wanaua watu kikatili hivyo!!!
Tupo salama kabisa, vp pande hizoMko salama huko kaka
Asante kakaSina la ziada, kwa udhamini mnono wa Miezi minne ya Makapuku, tukutane kesho.
Bye!!
Kwema mkuuTupo salama kabisa, vp pande hizo