Usiwaze mkuu, ubabe wake utafika kikomo hapo.. Niko na fundi mmoja huyo babu wa kipemba, kutoka bwimbwini huko.. Tutamzima tuu, kibabu kikikohoa tu, cr7 anageuka giroud.
Anzisha thread kule alfu hapa leta link bhass.
Then sisi tutakuja huko.
Unajua maswala ya kiimani ni mapana sanaa. Hvyo hapa wala tusizungumzie imani kabisa ili ku-avoid migongano ya sisi wenyewe kwa wenyewe