makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,968
- 104,390
Ungabure si wa usa baby, huyo mbona ana pozi za mjamaika aliyechoka.

Ungabure si wa usa baby, huyo mbona ana pozi za mjamaika aliyechoka.

Asante. Na kwako piaUsiku mwema.
Kwani unao![]()
![]()
![]()
![]()
Niwie radhi mzee mwenzangu

USA=United Sisters of AndunjeUngabure si wa usa baby, huyo mbona ana pozi za mjamaika aliyechoka.
![]()
![]()
![]()
Mie ya 100k inanihusu wajameni...Na kikofia Jonax atishia kutoshiriki kugombea tena post hapo makapuku Forum
Bitoz, Shululu na Szczesny waendelea kusindikiza huku Jimena akiahidi kutupia itakayofuata
Halafu wote mtakuwa busy kasoro JJHiyo itakuwa saa za mchana tu
Una undugu na 20%?Napiga mikwara uchwara tu.
Wala haina effect yoyote..
Dahhh! Bora nikae pembeni...![]()
Nawe piaUsiku mwema.
Kuumbee...USA=United Sisters of Andunje
![]()
![]()
![]()
.......
Sawa, hapa au kule intelligence??Hahahaha
Ningependa kesho tuanze na la yesu
Halaf kesho kutwa tuje la Mungu
Hujasikia akiropoka "wapumbavu & malofa"Sasa nataka kuniambia yule aliyekuwa prezidaa wa 3, alikuwa empty set kisa ana upara makulega kwa head...
Mie simo..
Note. Himena himenes ni usalama wa taifa, nakumegea siri tu.
Szczesny msindikizaj wa karibu kabsaNa kikofia Jonax atishia kutoshiriki kugombea tena post hapo makapuku Forum
Bitoz, Shululu na Szczesny waendelea kusindikiza huku Jimena akiahidi kutupia itakayofuata
Usimpe faidaSasa nataka kuniambia yule aliyekuwa prezidaa wa 3, alikuwa empty set kisa ana upara makulega kwa head...
Mie simo..
Note. Himena himenes ni usalama wa taifa, nakumegea siri tu.
Hayo maneno ya kujipa natumaini namna hiyo tumeshayazungumza sana lakini hatujawahi kufanikiwa.Mie ya 100k inanihusu wajameni...

Kama namuona vile.. Na chen yake ya dhahabu..Hujasikia akiropoka "wapumbavu & malofa"
![]()
![]()
![]()
........

Hapa hapaaSawa, hapa au kule intelligence??
Kwanza tupate wadhamini wetuTunajiunga na mtamgazaji wetu live akiwa eneo la tukio, bitoz mzee wa kutambaring