Makapuku Forum

Picha ya New York City na Mumbai city zinafanana, au nimeshindwa kuzitofautisha
 
Number 5, Delhi, India (23.200.000) kuna watu zaid ya milion 23.2 hapa na hii ni kama dodoma ya india na hapo ndo ilipo serikali na power strugles za kila namna watu wa Delhi ni mchanganyiko wa karibu kila sehemu ya kutoka India lakin na dunian pia
 
Sasa hao wa delhi ni wengi kama kumbikumbi
 
Number 4, Mexico City, Mexico (23.400.000) mwaka 1950 jiji hili likikuwa na watu milion 3 , sasa leo kufikia milion 23.4 hakuna alo jua kwa kipindi hiko, kwa nn linakua mie pia sijui

Lakini jiji hili lina halmashauri za manispaa zipatazo 60, watu takriban milion 10 wanaishi kwenye mamlaka ya manispaa ya Greater Mexico city pekee
 
Hapa kufika ni lazima
Zile tamthilia ziliniharibu sana
 
Ni Kati ya miji ambayo napenda kufika
 

Kuna vishikwambi matata
...........
 
Number 3, Guangzhou (Canton), China(24.200.000) likiwa ba watu milioni 24 jiji hili lili anzishwa miaka takriban 2,200 iliyo pita na ni mji wenye masoko, viwanda na starehe za kila namna pia ni jiji la tatu kwa ukubwa huko China na limekuwa kwa kasi kwa kuwa ni sehem pekee china ambayo wafanya bishara wa kigeni hushauriwa kuwekeza pia haina mikazo sana kwa wahamiaji haramu ambao wengia miaka ya 2000- 2014 wali mwagika kwa kasi zaid
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…