Makapuku Forum

Number 10, Shanghai, China (19.400.000)Shanghai ni moja ya majiji makubwa duniani na huko bara Asia likiwa lina watu milioni 19 na uongezekaji wa watu umekuwa mkubwa zaid hivo ina kadiriwa si mida mrefu wata fikia idadi ya watu milioni 20 kwa kuwa bado watu huingia kulikoni wale wanao toka
 
Number 9, Manila, Philippine (19.600.000) eeeh mambo ya ufilipino hayo huko ndo iwa kina Yna na Angelo, kwa kina Yuri na lady butterfly
Sasa kwa sababu ufilipino ni nchi ya visiwa visiwa pia kuna sehem ambazosi salama, Manila pana pata watu wengi sana kwa kuwa pana usalama na huduma nyingine ambazo zina patikana Manila pia hapo pana vivutio vingi vya utalii kama vile Santiago medieval Fort, Rizal Park, Malacanang Palace.
 
Number 8, São Paulo, Brazil (20.900.000) Sao Paulo ulikuwa ni mji wa kawaid na mostly kilikuwa ni kijiji mpaka karibuni miaka ya 1900 lakini kwa kuwa wakulima wa kahawa walikuwa ni wengi na waliamua soko la kahawa liwe hapo ndipo na idadi ya watu ilivo zidi kuongezeka na mahitaji ya huduma nyingine yakawa makubwa na kutoka soko la kahawa Mpaka kuwa mji mkubwa kabsa ambao kwa sasa watu milioni 20 wana ishi hapo
 

Coffee City
.............
................
 
Pazuri mnooo
 
Hawa nao kumbe wako wengiii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…