Makapuku Forum

Makapuku Forum

Leo katika Historia:

1974 - Rais Richard Nixon wa Marekani huku akiwa live katika Televisheni zote nchini Marekani atangaza kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo baada ya kuandamwa na kashfa ya Watergate.

Anakuwa ni Rais wa kwanza na pekee mpaka sasa nchini Marekani kujiuzulu wadhifa huo wa Urais.
 
Leo katika Historia:

1963 - Chama tawala nchini Zimbabwe cha Zanu Pf chaanzishwa.
1470635217850.jpg
1470635223801.jpg

Gamba la Zimbabwe
.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom