briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Aisee! Basi ntaganda kidogo huko nifahamu mawili matatuNdio. Nusu yangu ni huko
Aisee! Basi ntaganda kidogo huko nifahamu mawili matatuNdio. Nusu yangu ni huko
Itakua labda migodi ndo imepachangamsha sana hukoSema tu haina magorofa mengi kama Shy
We unakesha leo?Mlale unono
Aisee. Pole sanaKimtindo, kama leo nimejikuta naenda mpaka mwanza ndo nimerudi jioni hii
Vp kwani unalala?We unakesha leo?
Itakuwa vyema sanaAisee! Basi ntaganda kidogo huko nifahamu mawili matatu
Ungelala mwanza au geita, ukapitia kahama kurudi shyKimtindo, kama leo nimejikuta naenda mpaka mwanza ndo nimerudi jioni hii
Migodi, pia Ngara, Rwanda, Burundi wengi wao wamepafanya kahama soko lao kuu la kila kituItakua labda migodi ndo imepachangamsha sana huko
Tushazoea sana wakati mwingine tunasahau mpaka kula ukikuta kazi ni pasua kichwaAisee. Pole sana
Ila hizo ni changamoto tu katika kutafuta
Nimekuelewa sana mkuu kumbe ni mpakani piaMigodi, pia Ngara, Rwanda, Burundi wengi wao wamepafanya kahama soko lao kuu la kila kitu
Tatizo ni necha ya kazi nisingeweza kulala mwanza wakati huku kazi inaendalea huku shy mpaka night kaliUngelala mwanza au geita, ukapitia kahama kurudi shy
Kutoka kahama mpaka boda ya Burundi ni kama dar na domNimekuelewa sana mkuu kumbe ni mpakani pia
Dah kumbe kuna umbali mrefu tuKutoka kahama mpaka boda ya Burundi ni kama dar na dom
SanaDah kumbe kuna umbali mrefu tu
Nipo hapa nakuchora tuNasubiria wote mlale ili nije kutamba hapaaaView attachment 377160
Nasubiri mLale wote kabisa ili nije kutamba sasaNipo hapa nakuchora tu
