Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,262 Aug 6, 2016 #77,341 Inafika kipindi mtu anaenda chooni kukata gogo basi analala huko japo kwa robo saa pamoja na harufu ya chooni lakini watu hawajali.
Inafika kipindi mtu anaenda chooni kukata gogo basi analala huko japo kwa robo saa pamoja na harufu ya chooni lakini watu hawajali.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Aug 6, 2016 #77,342 shululu said: Inawezekana anampango wa kukutumia mwalimu wa kisukuma Click to expand... Mi sipendi vilugha.... Yani asijisumbue kabisa
shululu said: Inawezekana anampango wa kukutumia mwalimu wa kisukuma Click to expand... Mi sipendi vilugha.... Yani asijisumbue kabisa
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 6, 2016 #77,343 Szczesny said: Yuko wakongwe huko Uttalaje Jimena wa Szczesny!!? Click to expand...
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,344 Jimena said: Miss you too briz Click to expand...
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 6, 2016 #77,345 briz said: Kumbe??? Mi nakuachia yule mpya humu Click to expand... We koma!
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 6, 2016 #77,346 Mussolin5 said: Sana Mkuu JJ. Baada ya kumaliza tu doso, watu walipiga picha yaani ni vituko. kama makatuni. Click to expand... Niliwah kuona picha za kina halima mdee na zito kipindi kile wameenda jeshi ni noma sana, walikua wanaonekana vichwa tu na miili ka ya watoto
Mussolin5 said: Sana Mkuu JJ. Baada ya kumaliza tu doso, watu walipiga picha yaani ni vituko. kama makatuni. Click to expand... Niliwah kuona picha za kina halima mdee na zito kipindi kile wameenda jeshi ni noma sana, walikua wanaonekana vichwa tu na miili ka ya watoto
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 6, 2016 #77,347 briz said: Mambo niaje Papaa Click to expand... Pouwa, Nakuona
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 6, 2016 #77,348 Mussolin5 said: Duuh...bitoz huwezi wewe!! labda siku 7 hizo ulikuwa unavua kambale Click to expand... We Dikteta uchwara kambale wameingiaje kwenye hii mada .............
Mussolin5 said: Duuh...bitoz huwezi wewe!! labda siku 7 hizo ulikuwa unavua kambale Click to expand... We Dikteta uchwara kambale wameingiaje kwenye hii mada .............
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,349 briz said: Haha acha uoga mkuu Click to expand... Hamnaaa wewe mkuu na jimena mmeanza kunipa was was Halaf mrejeshe sweetapple asee
briz said: Haha acha uoga mkuu Click to expand... Hamnaaa wewe mkuu na jimena mmeanza kunipa was was Halaf mrejeshe sweetapple asee
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 6, 2016 #77,350 Szczesny said: Hahaha Sweetapple Alaf yuko cjui yuko wap!!! Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 6, 2016 #77,351 Jimena said: Sema huwezi vumilia sio kwamba hauvumiliki Click to expand... Vipi nyege unaweza vumilia? ...........
Jimena said: Sema huwezi vumilia sio kwamba hauvumiliki Click to expand... Vipi nyege unaweza vumilia? ...........
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,268 Aug 6, 2016 #77,352 Mussolin5 said: Inafika kipindi mtu anaenda chooni kukata gogo basi analala huko japo kwa robo saa pamoja na harufu ya chooni lakini watu hawajali. Click to expand... Waambie mkuu, vijana hawajapitia depo wanabisha, lazime upitie zoezi la kutolala hadi wiki kadhaa, ni sehemu ya mazoezi
Mussolin5 said: Inafika kipindi mtu anaenda chooni kukata gogo basi analala huko japo kwa robo saa pamoja na harufu ya chooni lakini watu hawajali. Click to expand... Waambie mkuu, vijana hawajapitia depo wanabisha, lazime upitie zoezi la kutolala hadi wiki kadhaa, ni sehemu ya mazoezi
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 6, 2016 #77,353 Szczesny said: Hakuna Asee Click to expand... Dah basi kama ni hivyo mi niko tayari tumkate katikati usawa wa kiuno afu mi ntachukua upande wa chini please
Szczesny said: Hakuna Asee Click to expand... Dah basi kama ni hivyo mi niko tayari tumkate katikati usawa wa kiuno afu mi ntachukua upande wa chini please
Szczesny JF-Expert Member Joined Apr 15, 2016 Posts 7,180 Reaction score 25,925 Aug 6, 2016 #77,354 werrason said: Click to expand... Mkuu Alikuwa sapotiv kishenz yaan cku ile kaja
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 6, 2016 #77,355 Szczesny said: Ana hangaika sana muunganishe na hao ili askusumbue tena Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 6, 2016 #77,356 Szczesny said: Hahaha Ntaenda kuulza Ntafanya research Click to expand... Watakuvua komunio zote ..........
Szczesny said: Hahaha Ntaenda kuulza Ntafanya research Click to expand... Watakuvua komunio zote ..........
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,226 Reaction score 39,946 Aug 6, 2016 #77,357 Mussolin5 said: Sio kweli mkuu, Ukienda Jeshini kuna kitu kinaitwa doso ' six weeks ' bila kulala. Kwa waliopitia watajua nini namaanisha. Click to expand... ....Kwei goma sisi tulipiga 7 wix
Mussolin5 said: Sio kweli mkuu, Ukienda Jeshini kuna kitu kinaitwa doso ' six weeks ' bila kulala. Kwa waliopitia watajua nini namaanisha. Click to expand... ....Kwei goma sisi tulipiga 7 wix
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 6, 2016 #77,358 Bitoz said: We Dikteta uchwara kambale wameingiaje kwenye hii mada ............. Click to expand... Anajua labda ulikuwa unakesha kuvua kambale
Bitoz said: We Dikteta uchwara kambale wameingiaje kwenye hii mada ............. Click to expand... Anajua labda ulikuwa unakesha kuvua kambale
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Aug 6, 2016 #77,359 Mussolin5 said: Kusinzia kumo, ila ole wako uonekanea na Makamanda utajua kwanini Jua halizami kaskazini. Click to expand...
Mussolin5 said: Kusinzia kumo, ila ole wako uonekanea na Makamanda utajua kwanini Jua halizami kaskazini. Click to expand...
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Aug 6, 2016 #77,360 Jimena said: Miss you too briz Click to expand... Moyo wangu kwatu.. Asante mwaya