Makapuku Forum

5m!!!
 
Duuuh ni shdaaa
 
FIX ZA BITOZ:
1/Binadamu ndo mnyama pekee ambaye anaweza kulala chali na kifudifudi

2/Huwezi kukaa siku mbili bila kulala....lazima ufe

3/kumekuwa na ubishi kuhusu size ya kibamia....km dushe lako likisimama linazidiwa na urefu wa peni hicho ni kibamia orijino

4/Mbwa akila chocolate anakufa...kwake ni poison

5/Ziwa Ngozi liliopo Rungwe ni la pili kwa ukubwa(kina) Afrika kwa upande wa CRATER LAKES linahusishwa na ushirikina lakini kitaalamu lina tope jingi hivyo ukiingia kichwakichwa unamezwa!!
*******************
 
Haaaa

Peni gani ya speedo au zile BIC!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…