[emoji111]Mwache ntamfuatilia hadi bafuni
Night night[emoji42]Usiku mwema wote
Pamoja sana kiongozi[emoji120] Ahsante shululu
Nawe piaUsiku mwema wote
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha
Woote tyu tuna changia
Kwakweli ndio maana nakukubali, maana unajiongezaNa wanao mpa hizo likes sjui huwa wanakuwa hawaelewi!!!
Mi snaga shda naye ila like yangu hata pata na sjishughulishi naye
Hapana usimsemeeAhsante kwa top kumi. ....veeve[emoji117] shabiki mwache au nikusemee???
Duuu[emoji134] [emoji134]Vikings FC 0 Arsenal 8
Hongera sana mutu ya kongoNimetusua[emoji3]
Morning dadake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unajitetea sana
Muwekeni wazi tujue msimumunye maneno wapendwaKwakweli ndio maana nakukubali, maana unajiongeza
Nimemsifia Szczesny kwasababu anajiongeza sana, yani kifupi huwa hashoboki and I love thatMuwekeni wazi tujue msimumunye maneno wapendwa