Makapuku Forum

Number 6, Sabah al-Ahmad al-Jaber al-Sabah, Kuwait huyu ni Amir wa 5 wa Kuwait na aliapisgwa kuwa Amir miaka 10 ilopita sasa ana miaka 86 na ye alikuwa waziri waambo ya nje kwa miaka 40 na hata kile kipindi kaka sadam ana wavamia miaka ya 90 alikuwa ni waziri
 
Number 5, Bhumibol Adulyadej, Thailand mfalme wa Thailand ambaye si mzee kuliko wote lakin ni mkuu wa nchi wa muda mrefu kuliko wote yeye ame pata ufalme mwaka 1946, Lèse-majesté ambazo ni sheria za Thailand zna kataza kuwepo na andiko lolote linako husu miaka ya wafalme
Kwa hiyo na mie sita waambia ana miaka mingapi
Ukitaka nitafte kwa muda wako
 
Mmmh sasa tukutafutie wapi?
 
Number 4, Abdul Halim of Kedah, Malaysia huyu ana miaka 88 na ndiye kiongozi mwenye jina refu kuliko yote dunuani kwani kwa majina yake rasmi ana itwa moniker Almu’tasimu Billahi Muhibbuddin Tuanku Alhaj sir Abdul Halim Mu’adzam Shah Ibni Almarhum Sultan Badlishah.

Ni mfalme lakin wana mtindo wao wa ajabu ajabu mie si uelewi
Kwao mfalme ni kiongozi wa mapambo tuu kwani ma waziri wakuu ndo wana nguvu
 
 
Hili jina mweee refu kama treni
 
Number 3, Beji Caid Essebsi, Tunisia huyu jaman ana miaka 89 ila maelezo yake ni haya


The top job came to Essebsi late in life – he turned 88 at the end of last year. But he has spent half a century in and around the corridors of power in Tunis and a long career based on pragmatism culminated in his investiture on New Year’s Eve 2014.
Under his stewardship, Tunisia remains the sole Arab spring country to have piloted a course towards democracy and security.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…