Makapuku Forum

Number 10, Salman bin Abdulaziz Al Saud, Saudi Arabia huyu ni mfalme wa Saudi Arabia ana miaka 71 ni mmoja wa vitukuu, vya muasisi wa Saudi Arabia Abdulaziz ibn Saud na pia ali mrithi ufalme kaka yake anaye itwa Abdullah bin Abdulaziz, na alirithi kiti hko akiwa na miaka takriban 69
 
Number 8, Paul Biya, Cameroon mmoja wa marais walio tawala wa muda mrefuu kabsa (japo huiba iba kura naye) ana miaka 83 na ametawala Cameroon kwa miaka takriban 34 na bado kuna uhakika ana weza kufikisha miaka 40 ya utawala kabla haja achia ngazi
 
Number 7, Raúl Castro, Cubamwana mapinduzi na kiongozi wa Cuba ana miaka 84,na ana miaka takriban 10 toka achukue nafas ya kuitawala nch kwa niaba ya kaka yake ndugu Fidel
Yeye alikuwa waziri wa ulinzi wa cuba kwa miaka 50 ambayo ni rekodi kwa mtu yyte kuwa waziri kwa kipind chote hiko
Yeye husema ata staafu mwaka 2018
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…