briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
NiteGood night le familia
NiteGood night le familia
Thijambo, niaje pande hizo?Hujambo!!?




J.J hujambo?
Hahaha...tulia huu mchezo hauitaji hasira#CrookedHillaryforprison2016
#neverHillary2016
kweli sana.View attachment 374618Hata Rais Mapombe Makufuli km zali vile mwanangu kawa rais kaanza utemi
![]()
![]()
![]()
.............
Jina lake na jina la mke wake ni majina ya bahatiNi wachache sana hupata bahati kama ya Gerald Ford.
Hapa kwetu Mwinyi nae alipata Urais bila kutegemea.
Alipewa Urais wa Zenji kisha baadae akapata Urais wa Bara na kuwaacha akina Cleopa Msuya, Rashid Kawawa na Ahmed Salim wakipigana vikumbo bila mafanikio ya Urais.
#Lukesam2025#Clinton2016
Duh ni bonge la ngekewa, watu na bahati zao aiseeHahahaha
Kweli
Au Nigeria bwana Goodluck jonatah
Alikuwa naibu gavana gavana akafa, aka rithu ugavana
Makam wa rais aka jiuzulu
Aka pewa umakam
Rais akafa
Aka pata urais
Hahahaha ni wachache kwel kweli
Umemuona jimena???Asanten sanaaa
Nawashukuru kwa kunifuatilia , kumbe mlikuepo
Tukutane wakat mwingine adious amigooo
Szczesny de la fuma
#Trump2016

Mwanaume yoyote akiwa na bahati, lazima mkewe ahusike na yeyeDuh ni bonge la ngekewa, watu na bahati zao aisee
Utaweza kukipokea hicho kijiti cha huyu wa sasa? Manake jamaa anakimbia mpaka anapitiliza kituo#Lukesam2025

Haha labda, vp angekua na gundu napo wife angehusika pia?Mwanaume yoyote akiwa na bahati, lazima mkewe ahusike na yeye
Hakyamungu sitawaangusha..Utaweza kukipokea hicho kijiti cha huyu wa sasa? Manake jamaa anakimbia mpaka anapitiliza kituo![]()
![]()
Waambie waache gongo sasaHuku uswahilini kwetu tunazika tu watu.....gongo linaunguza maini asikwambie mtu ukionja vizibo vi3 tu unalewa
![]()
![]()
![]()
..............
Hahahaha haya bana, weka sera zako hadharani nikuunge mkonoHakyamungu sitawaangusha..