Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
Mpotezee huyo chokoADIDAS - All Days I Dream About Sports.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
................
Mpotezee huyo chokoADIDAS - All Days I Dream About Sports.
HahahaAtakuja tu usihofu kabisa
HahahaNdo maana thread inabamba ni km vile "ukisusa wenzio twala"
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
............
Hujambo!!?Mmeshindaje Familia?? Nimewamiss mno..
HahahaNa wanautumia haswa..
HaaaaaView attachment 374603View attachment 374604View attachment 374605View attachment 374606
Nilifikiri James Delicious.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..............
HahahahaHuyu kwangu ndio Rais ninayemkubali kwa U.S.A
Bahati mbaya, alitofautiana na watu wake wa Usalama,na kukatishwa Uhai wake, mchana wa November 22, 1963.
Ni wachache sana hupata bahati kama ya Gerald Ford.Number 5, Gerald Ford -siku 895 View attachment 374575 alikaa ofisin mnamo August 9, 1974 – January 20, 1977
Huyu yeye aliupata urais kwa bahati sana na hakuwahi hata kuwaza jama angekuja kuwa rais kwa ngekewa hivi
Ilikuwaje!!?
Alikuwa ni seneta na kiongozi wa maseneta wa Republican, mnamo mwaka 1973 skendo ya watergate ilitokea na kumfanya makamu wa rais wa marekan bwana Spiro Agnew kujiuzulu kwa makosa ya rushwa na mengineyo, sheria ina mtaka kiongozi wa chama kwenye senate kushika umakamu wa rais ikiwa makamu ata aachia kiti kwa hiyo ikabidi rais nixon amteue na akawa makamu wa rais
Mnamo mwaka 1974 august presha ilivo kuwa kubwa rais Nixon naye aka jiuzulu na kwakuwa bwana ford alikuwa ndio makam wa rais ikabidi abadili na kuwa rais
Mwaka 1976 aligombea urais lakin akapigwa chini vibaya na ndugu Jmy Carter kwani wana nchi walikasirika alipo msamehe bila mashtaka yoyote Rais mstaafu Nixon
Haaaaa
Mkuuu
Ebu mtake radhi rais [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Duuh...huyu nae alikuwa ni wa aina yake!!Nuber 1, William Henry Harrison-siku 31 View attachment 374602alikaa ofisini mnamo March 4, 1841 – April 4, 1841
Ndiyo rais pekee kukaa madarakani ndani ya mwezi mmoja
Siku ya kuapishwa kwake ali toa koti lake na kuhutubia nje kwenye barafu na baridi kali kwa masaa ma 3
Kutokana na hilo alianza kuapata vichomi na baadaye akafa kwa pneumonia
Alikuwa ndo rais wa kwanza kufariki akiwa madarakani
Na rais wa mwisho aliye zaliwa uingereza kuitawala marekani
Wana sema hakuwa tajiri yaan alikuwa maskini kweli kweli na alioenda sana haki na uongozi tuu na alivo fariki mkewe alipata shida sana na ndipo ilipo pitishwa sheria ya kuwasaidia familia za marais wastaafu
#Clinton2016Asanten sanaaa
Nawashukuru kwa kunifuatilia , kumbe mlikuepo
Tukutane wakat mwingine adious amigooo
Szczesny de la fuma
#Trump2016
HahahahaNi wachache sana hupata bahati kama ya Gerald Ford.
Hapa kwetu Mwinyi nae alipata Urais bila kutegemea.
Alipewa Urais wa Zenji kisha baadae akapata Urais wa Bara na kuwaacha akina Cleopa Msuya, Rashid Kawawa na Ahmed Salim wakipigana vikumbo bila mafanikio ya Urais.
#CrookedHillaryforprison2016#Clinton2016
Ni wachache sana hupata bahati kama ya Gerald Ford.
Hapa kwetu Mwinyi nae alipata Urais bila kutegemea.
Alipewa Urais wa Zenji kisha baadae akapata Urais wa Bara na kuwaacha akina Cleopa Msuya, Rashid Kawawa na Ahmed Salim wakipigana vikumbo bila mafanikio ya Urais.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]We nawe ulikunywa bia siku moja ndo picha uwa unarudia hiyo hyo
Lol!
Ewaaaaa [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] ndio habari ya mjiniTumia [emoji485]
Duh njemba imetisha.Hahahaha
Kweli
Au Nigeria bwana Goodluck jonatah
Alikuwa naibu gavana gavana akafa, aka rithu ugavana
Makam wa rais aka jiuzulu
Aka pewa umakam
Rais akafa
Aka pata urais
Hahahaha ni wachache kwel kweli
Pole sanaKwangu iko too bad, nina flu inanisumbua.