Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 2, James A Garfield-siku 199 View attachment 374591 alikaa ofis ya rais kunako March 4, 1881 – September 19, 1881
Marekani ya kipindi hiki ilikuwa ina mtindo mmoja watumishi wa umma hawakuwa permanent
Yaan Rais akiingia alikuwa ana badilisha kuanzia wafanya kazi wa ikulu mpaka wafagiaj wa barabara za vijiji, hivo uongozi wa nchi ulibadilika kabisaaa karibu kila baada ya miaka mi 4
Marais hawakuangalia umesomea nn, wahariri wa magazeti walioewa kazi za ma injiania, walio soma sheria wali pelekwa kusimamia hospitali yaan kila mtu akiye muunga mkono rais mpaka ngazi ya mtaa alipewa ka uongozi kake

Kwa hiyo watu walikuwa ukiingia uongozi mpya wana poteza sana ajira zao na ndiyo hili lili mtokea bwana Charles Julius Guiteau, ambaye alikuwa mtumishi wa posta na alipoteza kazi mara tuu baada ya bwana Garlifield kuwa rais kwani rais moya aliweka kwenye kila ofisi watu wapya hasa wa chama chake cha Republican ndiyo sasa mnamo July 2, 188 saa 3,na nusu asubuhu , bwana Charles kwa hasira ya kukpoteza kibarua chake akaamua kumpiga risas Rais na kumfanya rais asifikishe hata miez mi 4 akiwa madarkani

Baada ya kifo cha Garfield ndiyo wabunge waka rekebisha sheria na kusema wafanyakazi wa serikali wawe permanent ili kuepusha mabalaa mengine
Huyo mwananchi ni shujaa sana
 
Nuber 1, William Henry Harrison-siku 31 View attachment 374602alikaa ofisini mnamo March 4, 1841 – April 4, 1841
Ndiyo rais pekee kukaa madarakani ndani ya mwezi mmoja
Siku ya kuapishwa kwake ali toa koti lake na kuhutubia nje kwenye barafu na baridi kali kwa masaa ma 3
Kutokana na hilo alianza kuapata vichomi na baadaye akafa kwa pneumonia
Alikuwa ndo rais wa kwanza kufariki akiwa madarakani
Na rais wa mwisho aliye zaliwa uingereza kuitawala marekani
Wana sema hakuwa tajiri yaan alikuwa maskini kweli kweli na alioenda sana haki na uongozi tuu na alivo fariki mkewe alipata shida sana na ndipo ilipo pitishwa sheria ya kuwasaidia familia za marais wastaafu
Anatia huruma sana, sasa kwanini nae alivua shati?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom