Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Pole sanaKwangu iko too bad, nina flu inanisumbua.
M/Munng akusaide upone
Pia upate dawa mkuuu
Pole sanaKwangu iko too bad, nina flu inanisumbua.
Usije ukawa unapga kilaj hadi wana rudsha kwenu wasamaria wemaSina.....mimi nakunywa kistaarabu siyo mlevi mpiga kelele
Mitungi , blunt ,mikasi lazima mifukoni mwako kuwe safi by Ngwea
YOLO
![]()
![]()
![]()
..............
Nashukuru sana Mkuu. Dawa natumia lakini.Pole sana
M/Munng akusaide upone
Pia upate dawa mkuuu
EeehNashukuru sana Mkuu. Dawa natumia lakini.
Sinaga hizo tabia ni ushamba....nikiona wenge linaanza nasepaUsije ukawa unapga kilaj hadi wana rudsha kwenu wasamaria wema
Hii nayo ya kika skuuu

Mkuu pole Sana..Kwangu iko too bad, nina flu inanisumbua.
Ila pia haitakiwi ukinywa sana kuendesha garSinaga hizo tabia ni ushamba....nikiona wenge linaanza nasepa
Siwezi sumbua watu
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
Asante Mkuu. Yaani hata utendaji kazi unagoma.Mkuu pole Sana..
Ndo uzuri wa Jf![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Daaaah
Hiz picha ngekuwa watsup hata sihangaik ku download
Zimetumwa mara ya 9999999
Haitatokea hata siku moja Mkuu, nitaendelea kumsoma Gwajima kwenye magazeti.Eeeh
Unaweza ukaenda kwa gwajima pia aka kuombee
Tofautisha mnywaji na mleviIla pia haitakiwi ukinywa sana kuendesha gar
Uache hiyo tabia
Za kwako mkuu
HahahahaHaitatokea hata siku moja Mkuu, nitaendelea kumsoma Gwajima kwenye magazeti.
HahahahTofautisha mnywaji na mlevi
![]()
![]()
![]()
...............