briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Dah kumbe nimechelewa mi ndo naianza leoImeanza Jana jioni
Dah kumbe nimechelewa mi ndo naianza leoImeanza Jana jioni
[emoji102] [emoji102] [emoji125][emoji125][emoji125]Aaah
Jimena ni level ambazo halinganishwi na mtu yyte
Mbona bado mapema?Usiku mwema wadau!!
Na nilikuwa shabiki wake toka mtotoYes kweli una mjua Michael
Asante sanaAaah
Jimena ni level ambazo halinganishwi na mtu yyte
Nilikuwa na ubize sana leo, hapa nipo hoi, na kesho ni jumamosi tena.Mbona bado mapema?
Jackson yupo vizuri sanaNa nilikuwa shabiki wake toka mtoto
Mbona hapo mwisho umejihami??Sasa kibongobongo huko kwenye maconcert ndo inawalipa zaidi(kulingana na maelezo yao lakin)
Na anajua kuitumia vizuri sauti yakeHuyu mama anazeeka na sauti yake kama amemeza yai bichi vile, ile sauti ya kumtoa nyoka pangoni
Poa kamanda, uwe na usiku mwemaNilikuwa na ubize sana leo, hapa nipo hoi, na kesho ni jumamosi tena.
Ngoja niegeshe mapema, kesho nayo siku.
Asante mkuu, we itunze sabato kesho kanisani acha nasi wengine tujiachieUsiku mwema wadau!!
[emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji106] [emoji106] [emoji106]
Bado sanaaaa, wapo wanaoimba zaidi yake na hawanusi hata kwenye top 100Hivi Adele pamoja na kuuza kote kule kumbe hayumo hata kwenye 10 bora??
Haha sio hivyo bana, ni kwamba nawaongelea wao na mi sio msaniiMbona hapo mwisho umejihami??
Wiki ijayo uianze mapema zaidiDah kumbe nimechelewa mi ndo naianza leo
Swadaktaaaa[emoji102] [emoji102] [emoji125][emoji125][emoji125]
Cc Jimena
Lete lakin uweke tafsiri mana duh!Mnataka fix ?
....................