Number 1, The Beatles – 265 Million
View attachment 373066 una faham neno bitoz lilitokea wapi wewe!!!?
Hawa jamaa walikuwa ni vijana watanashati, wanao vutia na wasafi (japo si WCB) na watu walio kuwa na pigo hzo ndo waliitwa ma bitoz ku reflect bendi hii ilivo kuwa so vijana wengi wa kipind hiko walijiita ma bitoz
Hawa walikuwa wana uza nakala za miziki yao zaid hata ya bible
Wanaongoxa kwa nyimbo zao zaid ya 20 kufika namba 1 kwenye chati mbali mbali dunuani
Wanakadiriwa kufika nakala 300 milion officially miaka ya karibuni kama wakiendelea kuuza kwa mwendo wano endelea nao zaid