Number 3, Michael Jackson – 175 Million
View attachment 373056 king of Pop , the best that ever was, kwangu ni msanii bora wa muda woote na hakuna atakaye kuja kufanya nibadili admiration yangu kwake
Japo familia yake na washabiki wake wana sema aliuza zaid ya nakala milioni 400-750 wataalam wana sema hapo wamezidisha
Huyu ni msanii aliye toa album bora kuliko zote dunian katika mauzo (Thriller), video ya music iliyo uzwa sana kwa muda wote, na pia ni mwana muziki akiye pata tuzo nyingi kuliko woote walio pata kuwapo.
Michael kwangu ni zaid ya msanii
RIP Michael[emoji24]