lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,214
- 28,133
Kumbe kulikuwa na watu wakatili zaidi ya wale waliomtesa yesu..dahAisee mkuu hizi top10 zinasisimua hadi utumbo kwa hayo mateso
Kumbe kulikuwa na watu wakatili zaidi ya wale waliomtesa yesu..dahAisee mkuu hizi top10 zinasisimua hadi utumbo kwa hayo mateso
Siwezi kuonyesha hasi na chanya zikinasanaWeka picha [emoji85]
Bora walivyoipiga marufukuHanged, Drawn, and Quartered
View attachment 372126
Hiii ndio ilikuwa kiboko
Kwanza mtu alinyongwa na kama ana karibia kabisa kifa walimtoa kamba
Then walimzamisha na kumtoa kwenye maji ili kunyima hewa
Halafu wali mhasi kwa ku mtoa dushe na ku choma dushe yake huku na yeye aki shuhudia tukio hilo
Na wali malixa kwa kumfunga kwa kamba na ku ziunganisha kwenye farasi then waliamuru farsi ziondoke na zilimvuta kwa nguuuvuuu hadi alipo kuwa vipande vipande
Wana sema hii ilitumiwa sana huko England kipind cha vita za miaka ya 1600 na ili kuja kupigwa marufuku mwaka 1814
Eti eeh!! thanx japo haijakaa mkao mzuri ila nikipata muda kwenye pc nitairekebisha vizuri.Kusema kweli Mussolin5 hii avatar yako ya sasa nimeizimia japo ni ile ile ila hii ina mvuto zaidi hivyo usije ukarudisha ile ya zamani tena
Duuuuh!!Ukisema hilo neno bebi usikose kumalizia na mtarajiwa kwasababu mambo yanaweza kugeuka
Watu wa zamani hawafaiAisee mkuu hizi top10 zinasisimua hadi utumbo kwa hayo mateso
Sana yani[emoji37] [emoji37]Kuna watu wanaroho ngumu Sana..dah
We acha mkuu, mungu ndie ajuaeKumbe kulikuwa na watu wakatili zaidi ya wale waliomtesa yesu..dah
Asante mkuuThanks alot wakuu
Hii si kazi rahisi
Na wakubali watu woote wa segment za asubuhi hasa mussolin na My Jimena Jimenez nawakubali sana na nna washukur kwa moyo wenu wa kujituma na kaz fresh segment zenu ndo bora zaid nadhan hapa
Then asante kwa wengne woote wakuu
Wana roho mbaya akina Hitler wakasome na kusapuaWatu wa zamani hawafai
Asante kwa sapot mamaNjema,
nipo nafatilia 10 bora kwa umakini wa hali ya juu
Hizi mbinu walikuwa wanatoa wapi??Cement Shoes
View attachment 372060
Hii ilitumiwa sana na wa amerika wa ki Mafia ambao walikuwa waki kukamata wana weka miguu kwenye kitu kama tofali kubwa halafu wana mwaga sumenti na wana subir hadi ikauke
The wana kuchukua wanaenda kuku tupa katikat ya bahari, mto mkubwa au ziwa
Apo huponi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nalinda maadili
NO picture
..................
HahahahaAisee mkuu hizi top10 zinasisimua hadi utumbo kwa hayo mateso
Zote ni bora amini hivyo. Asante sana kwa 10 kubwa zilikuwa zenye mguso wa kipekeeThanks alot wakuu
Hii si kazi rahisi
Na wakubali watu woote wa segment za asubuhi hasa mussolin na My Jimena Jimenez nawakubali sana na nna washukur kwa moyo wenu wa kujituma na kaz fresh segment zenu ndo bora zaid nadhan hapa
Then asante kwa wengne woote wakuu
Kumbe hawa hawakuwa binadamu Wa kawaida..loh!!Rat Torture
View attachment 372048
Kukaa na panya tuu jamani ni shida na kwa wale wenzangu walo wahi ku ng'atwa na panya wana jua anavo toboa
Sasa hapo walikuwa wana mchukua mtu wana mfungia kama ki jumba flan hivi kidogo maeneo ya tumbo (au sehem yyte watakayo amua) halafu walikuwa wana weka moto kwa juu ya hiko kijumba (mara nyingi cha bati) sasa ili panya akimbie huo moto ilitakiwa aazime njia kwa kumtoboa huyo mtu (kama vile ambapo huwa ana chimba shimo) hadi afanikiwe kutoka ili kukimbua huo moto
Mpaka Sasa bado zipo, Afghanistan ukienda unakutananazoHizi mbinu walikuwa wanatoa wapi??
Sawa kabisa, kuhusu mkao najua hayo ni mambo madogo tu ambayo ukiwa free utafanya marekebishoEti eeh!! thanx japo haijakaa mkao mzuri ila nikipata muda kwenye pc nitairekebisha vizuri.