Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
HahahaHizi mbinu walikuwa wanatoa wapi??
Watu wa zamani kwa kweli wamenishinda maana hzo akili mie pia sjui walikuwa wana azma wap
HahahaHizi mbinu walikuwa wanatoa wapi??
Sio mimiDuuuuh!!
Naamini kuna mtu alikuandikia sio wewe
Mambo yatageukaje[emoji276] [emoji3]
Ahsante Iron lady!!Sawa kabisa, kuhusu mkao najua hayo ni mambo madogo tu ambayo ukiwa free utafanya mambo
Tena wasome kwa kukesha kabisaaa, ila hivi hivi hawafiki hata nusuWana roho mbaya akina Hitler wakasome na kusapua
KaribuAsante kwa sapot mama
HahahahaWana roho mbaya akina Hitler wakasome na kusapua
UbunifuHizi mbinu walikuwa wanatoa wapi??
Huko sio kwakwendaMpaka Sasa bado zipo, Afghanistan ukienda unakutananazo
[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] cheers
Hata sasa wapo mfn North Korea na majeshini watu wanauawa kimyakimyaKumbe kulikuwa na watu wakatili zaidi ya wale waliomtesa yesu..dah
PleasureAhsante Iron lady!!
HahahahaSio mimi
Kuna jirani alikuwa anachezea simu yangu ndo akaandika.
Watu wabaya sana[emoji3] [emoji3]
Wanapatiwa wahalifu au??Mpaka Sasa bado zipo, Afghanistan ukienda unakutananazo
Sio mchezoHahahaha
Yaan kama chuo
Hao ni ma profesa wa engeneering
Alafu Hitler ni assistant lecturer fine and performing arts
Sisi si ndio makapuku??Hahahaha
Ahsante i never knew kama mngezipokea vzuri hivoo
Thanks y'al
SitokanyagaHata sasa wapo mfn North Korea na majeshini watu wanauawa kimyakimya
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
...............
Mimi ndo nimempa km yule kikofiaKusema kweli Mussolin5 hii avatar yako ya sasa nimeizimia japo ni ile ile ila hii ina mvuto zaidi hivyo usije ukarudisha ile ya zamani tena
Haaaa