Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Mkuu ujue una jiweka hatarin maisha yako, eb jitahid uwatafute wengine nenda kwa kina mss chaga na atoto huko
Ila jimena utapata tabu sana
Aliniacha huyo huyo unayemtaja kwa sababu ya tunayemgombania...ila wewe nakuweza huna madhara wala nini, weka cheti chako hapa na cv ihakikiwe kama mimi jana kisha tumwachie mwenye moyo wake aamue...