Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 26,003
- 96,256
Mwaka mmoja tu?? You must be kiddingAhaaa...hizi kazi zinachooosha...sijui n ifiche cheti ili nitumbuliwe niwe najifungia tu ndani kukuonesha upendo wa kweli? Maana ramli zinasema hapa kwamba nikiwa serious kubet pendo lako kwa walau mwaka mzima unaweza nifikiria....