FIX ZA BITOZ V:
Babake kitaani kwetu Mabibo Beach kuna kingongo kinaitwa BABU JINGA sasa baada ya kukaa sana kijiweni nikataka kujua kwanini anaitwa Babu Jinga?
Besti wangu Ziro akacheka akasema lile kingongo nyapinyapi wa Vikudwi wakati akiwa yanki enzi hizo akiwa na tabia za kipwashwa aliokota mfuko uliojaa mapene sasa kutukana na tabia zake za kindezi akazipeleka kipukuchu zote Police Center Mabibo na kuambulia kupewa buku 10 ya kunyolea ubexhe...
Maskini Babu Jinga anazeeka now akiwa choka mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni story ambayo nimeisikia Uswaz kwetu huku
.....................