Makapuku Forum

Makapuku Forum

Togwa uende nayo Mdogo Mdogo, isije kukuumbua
1469459360418.jpg

Sawa
Msalimie Lulu
Mwambie Bitoz ana pesa za machungwa
...............
 
Bwana angu[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Mbona mi sina bwana???

Ahaaa...hizi kazi zinachooosha...sijui n ifiche cheti ili nitumbuliwe niwe najifungia tu ndani kukuonesha upendo wa kweli? Maana ramli zinasema hapa kwamba nikiwa serious kubet pendo lako kwa walau mwaka mzima unaweza nifikiria....
 
Back
Top Bottom