Makapuku Forum

Makapuku Forum

Eeeh! Siku moja nimeTuliaa LightHouse pale naskizia kibreezz! Mara akapita kidemu toto Hilwaaa! Nikasema simuachi.. nikatoa noti ya 10000 nikaandika no. Zangu *( 06838546 ♡♡)* alafu nikamuita pphsss phsss! Mrembo umeangusha pesa, yule demu akaichukua pesa hata hakuisoma... mara hajafika mbali namuona anainunulia Mihogo. Alinisunyaaaa!!! [emoji35]



ANYWAYYY hiyo haikua shidaaaaa. Shida ni Yule jamaa wa Mihogo ananisumbua daily alifikiria mm ni yule Demu !! [emoji3]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
......
 
Back
Top Bottom