Makapuku Forum

Makapuku Forum

1469455235428.jpg
 
HIZI MILA NYENGINE!!!

Juzi nimeenda kuzika jirani yangu huko kijijini kwao,sasa utaratibu ni kuwa,baada ya kuzika mkiwa huko huko makaburini,mzee wa kimila huwa ana simama na kumtangaza anaye fuatia kufa. Mzee huyo alipo simama....kwa kujiamini kabisa aka jikoholesha...alafu akasema mtu wa kwanza kuondoka eneo la makaburi ndiye atakaye fuatia kufa...bila kutaja jina wala nini.....
Leo siku ya tatu bado tuna zunguka zunguka tu hapa makaburini pamoja na yule mzee...

Stupid mila.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi imani hizi mbaya sana, na wewe umemwamini kabisa
 
*_K E S H A LA A S U B U H I_*
JUMATATU-JULY-25/2016

[emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258][emoji258]

*_KUSIMAMA KATIKA KANUNI LICHA YA UPINZANI_*

[emoji404] *Na mimi nikatuma wajumbe kwao, nikasema , Hii ni kazi kubwa ninayoifanya mimi, hata nisiweze kushuka ; mbona kazi ikome hapo ninapoiacha , niwashukie[emoji780]* *_NEHEMIA 6:3_*
_________________________

✍[emoji354] *_Mungu anao watu katika akiba yake, ambao wameandaliwa kukidhi hitaji , ili kazi yake ipate kutunzwa dhidi ya mivuto yote inayoharibu. Mungu ataheshimiwa na kutunzwa. Roho wa Mungu anapogusa akili ya mtu ambaye ameteuliwa na Mungu kuwa anafaa kwa ajili ya kazi , huwa anajibu ,akisema , "Mimi hapa , nitume mimi"..... Nehemia alijidhihirisha kuwa mtu ambaye Mungu angemtumia kuweka chini kanuni za uongo na kurejesha kanuni zitokazo mbinguni na Mungu akamheshimu. Bwana atatumia kazini mwake watu ambao ni wa kweli wakiwa imara kama chuma katika kanuni , ambao hawatayumbishwa na maneno ya hila ya wale ambao wamepoteza uwezo wao wa kuona ._*



✍[emoji354] *_Nehemia alichaguliwa na Mungu kwa sababu alikuwa tayari kushirikiana na Bwana kama mrejeshaji. Uongo na njama vilitumika ili kupotosha uadilifu wake , lakini hakuhongwa. Alikataa kupotoshwa kwa hila za watu ambao hawakuwa na kanuni ambao walikuwa awamejiriwa kufanya kazi ya uovu. Asingeweza kuwaruhusu kumtisha na kumuingiza katika njia ya hofu..Alipoona kanuni zilizokosewa zikifanyiwa kazi , hakubaki akiwa amesimama tu kama mtazamaji na kwa kimya chake kukubali. Hakuacha watu wahitimishe kwamba alikuwa akisimama upande wa ubaya. Alikuwa na msimamo thabiti usioyumba kea ajili ya haki. Hakuweza kuonesha mvuto hata kidigo ulioelekea kwenye upotovu wa kanuni ambazo Mungu alizisimika ._*




✍[emoji354] *_Tutakutana na upinzani wa kila namna , kama walivyo kuwa wajenzi wa Yerusalemu, lakini ikiwa tutakesha na kuomba na kufanya kazi kama walivyofanya ,Mungu atapigana vita kwa ajili yetu na kutupatia ushindi wa thamani. ... Inatupasa tusonge mbele tukuwa na ujasiri usioyumba , tukiamini kwamba Mungu ataupa ukweli wake ushindi wa thamani tena ulio mkuu ..... Tukimtegemea Yesu, tutaonesha nguvu kubwa ya ushawishi unaodhihirisha kwamba tunao ukweli...._*

[emoji773]
*U B A R I K I W E*
...........
 
Back
Top Bottom