Makapuku Forum

Makapuku Forum

Experence [emoji134] [emoji134]
Kwani mwenzetu umeshapenda wangapi mpaka sasa? Na mbona bado unaendelea tu kupenda?
Yaani mimi ni mbobezi kwa maana ya kuspesholize kwenye hiyo category ya domestic love, shahada ya kwanza nilipatia kwenye upendo general ila shahada ya umahiri nikajikita hapo!
 
Weka hicho cheti sasa
cht.JPG
 
Back
Top Bottom