Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
After kula ngadaUna tabia za kipapai
View attachment 370492
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
After kula ngadaUna tabia za kipapai
View attachment 370492
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
................
We kikofia hebu niondolee wazimu wakoWe Jimena ni Top boy shauri yako..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwahiyo wewe unataka kutupia ndoano?Napokea ushauri wako ila nauweka kando kwa sasa hadi pale mhusika mkuu atakapotoa tamko..
After kupiga picha uko Mabibo uswazi unakula ngadaView attachment 370491[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Anabembea tuAfter kupiga picha uko Mabibo uswazi unakula ngadaView attachment 370491[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimecheka sana kusema kweli
Ok, ngoja nivunge zangu ili nisije kukupeperushia njiwa wakoWe kikofia hebu niondolee wazimu wako
Bila kificho mkuu na niko tayari hata kukupa CV yangu katika format yoyote utakayosema...Kwahiyo wewe unataka kutupia ndoano?
Hapo amesizi mbayaaaAnabembea tu
[emoji41] mimi hapaa
Una mashairi ya hatareeeeHuwezi jua out of le le leeee ukaja kukuta umejaa nyavuni...usichokijua ni kwamba kila shetani na mbuyu wake so unaweza kukuta unang'ang'ania mbuyu usiokuwa wako ilihali down the road kuna mbuyu wako unazidi kujikunyata kwa simanzi!
Ukikutana naye msituni huyu utafanyaje?
Nawe pia mzee wa historiaUsiku mwema wakuu.
Karibu sana.Kumbe hii kitu imeanza mwaka huu huu duuh hodini wakuu
Ok, ngoja nivunge zangu ili nisije kukupeperushia njiwa wako
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Karibu sana.Kumbe hii kitu imeanza mwaka huu huu duuh hodini wakuu
[emoji15] niko hapa nacheki mtongozo wa kikubwa, uku nikiwa nachukua points mbili tatuBila kificho mkuu na niko tayari hata kukupa CV yangu katika format yoyote utakayosema...