Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,270
Acha uwoga ndugu yanguJamani! jamani! mi mkitaja neno UCHAWI najikuta natetemeka bila sababu.
Acha uwoga ndugu yanguJamani! jamani! mi mkitaja neno UCHAWI najikuta natetemeka bila sababu.
wewe nenda tu mkuuSawa ntaenda kumcheki kwasasa naomba nidili na 73k kwanza
We ni level zingine kabisaIna maana namzidi Mshana jr
hahaha...mtaisoma nambaTutalithibitisha hilo leo
Ha ha ha hawawezihahahahah utang'olewa kucha bila ganzi mkuu oohooo!
Alaa kumbeHii tarehe 13 hii kuna bonge la event
Huo uchwawi uliokuwa unautumia kwa sasa umeshakuwa expiredMimi nikiwepo ni bora utafuteshughuli ya kufanya tu!
Hiyo 73k ni yangu kitambo
Ngoja tuonehahaha jipeni moyo!!
Hii ni yangu tuuYaani ufanye mambo yote hayo sisi tukungoje!!
Akirud atakuta manyoyaKaoge sasa
Duuhhongera sana kwa 73kHuo uchwawi uliokuwa unautumia kwa sasa umeshakuwa expired
Hvyo hii sasa ni zamu yangu
AaahHa ha ha we una maono. Mi sikugundua hii
tehtehteh we jamaa muongo sanaAskari hasinzii akiwa lindo huku akimiliki Ak47 mkononi.
Sasa ntaenda kiroho safiwewe nenda tu mkuu
Hongera sana champ!! U made tHuo uchwawi uliokuwa unautumia kwa sasa umeshakuwa expired
Hvyo hii sasa ni zamu yangu