Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Yule ni mkwara tu,Yan mi mpaka nilianzaga kuamini labda jamaa ni ule uzao wa kina isaka wateule kwa jinsi tu anavyotusua ila leo ndo nimeona jinsi ntakavyoweza kuipiga 100k kirahisi
Ye uzao wa kina isaka mi mwenzie ni mjukuu wa HORUS
Hanitishi tenaaa 100k naiona kabisa