Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mimi siyo msomaji wa hadithi....ndio maana sioni km unamkwaza mtu 7bu kuisoma ni hiyari yake kwanza hadithi ni ndefu na hadi mtu akute mambo mazito ujue kaifuatilia
Humu tunajisimamia wenyewe isipokuwa huwa tunawareport wapuuzi na waweka picha za uchi na matusi
................
Mi naongelea experience. Sababu yamimi kujiunga na hilo jukwaa ni hayo machombezo. Nilikuwa nayafatilia yakiwa MMU matokeo yake baadae wanahamisha jukwaa.
Sasa kwa jinsi tunavyopendwa na watu fulani fulani kikofia akiweka chombezo hapa basi itakuwa mawili, either kuhamishiwa JLW au uzi kupigwa pin kwa sababu tutakuwa tumekiuka masharti
Ushauri wangu, hapa zije hadithi za aina zote ila sio hizo.
jonax anajua vyema kuhusu hilo maana yeye ni shahidi mkubwa wa hilo kwavile nae ni mfatiliaji wa hizo stories.
 
Sikujua maana ya chombezo
Mi sipo jukwaa la wakubwa
.............
 
Ukiweka chombezo hapa utasababisha uzi uhamishiwe jukwaa pendwa basi ni heri ulete hadithi ya mapenzi ila sio chombezo
Ok,nmeona nilete hadithi za mapenzi tu hapa alaf chombezo nitakuwa naitupia kule kwenye jukwaa la wakubwa alaf ntakuwa nawashitua hapa kila nikipost kule..
Au mtabidi mnifallow ili mpate notification kila nikitupia nyuzi
 
Mi naongelea experience. Sababu yamimi kujiunga na hilo jukwaa ni hayo machombezo. Nilikuwa nayafatilia yakiwa MMU matokeo yake baadae wanahamisha jukwaa.
Sasa kwa jinsi tunavyopendwa na watu fulani fulani kikofia akiweka chombezo hapa basi itakuwa mawili, either kuhamishiwa JLW au uzi kupigwa pin kwa sababu tutakuwa tumekiuka masharti
Ushauri wangu, hapa zije hadithi za aina zote ila sio hizo.
jonax anajua vyema kuhusu hilo maana yeye ni shahidi mkubwa wa hilo kwavile nae ni mfatiliaji wa hizo stories.
[emoji41] ngoja tu niwe naleta hadithi za kimapenzi tu kuliko chombezo.
Na pia km kuna wapenzi wa hadithi za kichawi pia nnazo nyingi.
Za mapigano na pia za kijini
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana mtoto mzuri, baki na tabia hiyo hiyo..
Usimuige Jimena atakufundisha tabia mbayaa
1469372989137.jpg
 
Back
Top Bottom