Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Ndio. Hadithi jioni au?Johnax
Kikofia
Mr. Kutambaring
Jonax
Yote haya ni majina yangu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio. Hadithi jioni au?Johnax
Kikofia
Mr. Kutambaring
Jonax
Yote haya ni majina yangu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yap hii ni mara yangu ya pili kuvunka record namna hiiAaah
Nsha zoea ntakuwa kama shabiki ku wapigia makofi wengne
Never give upAaah
Nsha zoea ntakuwa kama shabiki ku wapigia makofi wengne
Sa kumbe vepeunataka nitambering namna hiiView attachment 370318au namna hiiView attachment 370319jr hiviView attachment 370320baada ya uchukua ubingwa ngoja nkaoge miyeeeee
Yani Leo mi mpaka nimecheka, nilikuwa namhofia Mzee wa historia ila matokeo yake akatupia mwingineeeHaha jamaa leo kapania kaikosa bas maneno yoote yamemtoka.. Huyo ndo Mussolin5 bana mzee kuvizia leo kaviziwa
Hadithi nadondosha lisaa limoja lijaloNdio. Hadithi jioni au?
After hii riwaya inakujaSa kumbe vepe
Poa poaHadithi nadondosha lisaa limoja lijalo
It is Not giving upNever give up
HahahaUsiseme hivo bana mi mwenyewe nshaipata maramoja tu na haijarudia tena
Acha nikamsome Dany fastaAfter hii riwaya inakuja
Ntaoga maji ya betri ya gariBasi oga na acid ilo gundu litoke
Basi sawaIt is Not giving up
It z Letting go
Yan mi mpaka nilianzaga kuamini labda jamaa ni ule uzao wa kina isaka wateule kwa jinsi tu anavyotusua ila leo ndo nimeona jinsi ntakavyoweza kuipiga 100k kirahisiYani Leo mi mpaka nimecheka, nilikuwa namhofia Mzee wa historia ila matokeo yake akatupia mwingineee
Usikate tamaa ndugu.Hahaha
Washabik lazima tuepo
Yan mi mpaka nilianzaga kuamini labda jamaa ni ule uzao wa kina isaka wateule kwa jinsi tu anavyotusua ila leo ndo nimeona jinsi ntakavyoweza kuipiga 100k kirahisi

Hahaha bado zipo nyingi tu sana before 80k, 90k na 100k lazima nitusueHahaha
Washabik lazima tuepo