Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Itabidi ukomae... Hata kikofia pia Leo huenda ni mara yake ya 2Haaa mi ndo sinaga bahati kama messi na argentina
Itabidi ukomae... Hata kikofia pia Leo huenda ni mara yake ya 2Haaa mi ndo sinaga bahati kama messi na argentina
Babu not bibiBibi Bomba Chura
Hongera sanaEti anadai nimemzidi maneno matamu
Johnax
Yote haya ni majina yangu

Tisha sanaaaAsante sana...
Hapa inaonyesha ni jinsi gani itavyotupia post ya 100k
Ha ha ha nimecheka sanaaaHahaha...ni sawa na kunguru kumnyea binadamu...ni kubahatisha tu!!
Nmetupia post ya 73k broImekuwaje?
Ni kweli kabisaBahati imeenda kwa kikofia
AaaahKaoge kwenye bwawa la kina Bitoz mabibo pamoja na kula wale kambale.. gundu litaondoka

AaahItabidi ukomae... Hata kikofia pia Leo huenda ni mara yake ya 2
100kMtabidi mniweke front page sasa maana kusema hongera hakutoshi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
unataka nitambering namna hiiWeraaaaaaa sasa bado kutambaring
Katupia ya post ya 73k mbele yetu woteImekuwaje?
Haha jamaa leo kapania kaikosa bas maneno yoote yamemtoka.. Huyo ndo Mussolin5 bana mzee kuvizia leo kaviziwaHa ha ha nimecheka sanaaa
SanaaaNdo hivyo tena, nyota yake imeng'aa leo
Lol![]()
![]()
![]()
![]()
We jisifie tu na kuleta kashfa zako km ngedere ungabure
Ha ha ha kaoge Beach tuAaaah
Bora ni baki hvi hvii
Usiseme hivo bana mi mwenyewe nshaipata maramoja tu na haijarudia tenaAaah
Nsha zoea ntakuwa kama shabiki ku wapigia makofi wengne
Basi oga na acid ilo gundu litokeAaaah
Huu ushauri kwa kweli sijaukibali![]()