Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,270
Hahaha...ni sawa na kunguru kumnyea binadamu...ni kubahatisha tu!!Ila leo Mzee wa kutambaring kafanya yake mbele ya Ak47
Hahaha...ni sawa na kunguru kumnyea binadamu...ni kubahatisha tu!!Ila leo Mzee wa kutambaring kafanya yake mbele ya Ak47
Senkyuuuu so machiHongera sana champ!! U made t
Bahati imeenda kwa kikofiaMi nimeikosa kidogo tu![]()
Daah nahitaji huduma ya ziadaSasa itakuwaje! Itabidi tu ujikaze maana hamna namna
Haaa mi ndo sinaga bahati kama messi na argentina








Sawa likofia likubwa kumuonea huruma mdogo wako kikofia kidogo na kumwachia ushindiUnajua hata kwenye football kuna kitu kinaitwa " Fair Play "
Hivyo nimewafanyia fair play ili msijisikie wadogo!!
Tukutane 80k

Mtabidi mniweke front page sasa maana kusema hongera hakutoshiLeo katuweza kikofia

Imekuwaje?Ila leo Mzee wa kutambaring kafanya yake mbele ya Ak47
Ndo hivyo tena, nyota yake imeng'aa leoLeo katuweza kikofia
Weraaaaaaa sasa bado kutambaringWera wera..........
Nmeshatupia 73k
Tuonane 80k
hizi ndogondogo nawaachia wenzangu wa mchangani.
Lakini salamaHahahaha
Del Jambilo
Hatareeee
Hahaha...ni sawa na kunguru kumnyea binadamu...ni kubahatisha tu!!
Mtabidi mniweke front page sasa maana kusema hongera hakutoshiLeo katuweza kikofia

Aaaah
Inabidi ukaogeleee pale beach mav* naskia yale maji yanatoa gundu
Mmmmh hii fiksi ya Leo ni bab kubwaUnajua hata kwenye football kuna kitu kinaitwa " Fair Play "
Hivyo nimewafanyia fair play ili msijisikie wadogo!!
Tukutane 80k
Embu Bitoz kuja hapa nkuosheeBahati imeenda kwa kikofia
Kaoge kwenye bwawa la kina Bitoz mabibo pamoja na kula wale kambale.. gundu litaondokaHaaa mi ndo sinaga bahati kama messi na argentina