Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Sana yani....![]()
Kama nimeipenda hvi!!
Ila majina yako ni ya ki international kweli
Ila hata hilo la @szcesny nalo ni homa ya jiji
Sana yani....![]()
Kama nimeipenda hvi!!
Ila majina yako ni ya ki international kweli
Mimi nikiwepo ni bora utafuteshughuli ya kufanya tu!Hii sitakubali inipite
SpanishAsili ya hili jina ni wapi
Ina maana namzidi Mshana jr
Yaani ufanye mambo yote hayo sisi tukungoje!!Ngoja nile kwanza, nioge then nkishamaliza ndo nirudi hapa kuitwa post ya 73k
Hii tarehe 13 hii kuna bonge la eventNzuri bhana
Mapumziko yana endelea kabla tar 13, aija fika
BBCMarekebisho
Briz Bristol Clinton
Hahaha najua, nacho inabidi nijitutumue kukijua mana hakuna namna sasaAsante sana si unajua tena kispanish nacho vile kilivyo romantic
Tutalithibitisha hilo leosisi wazee wa Intelijensia
Tutalithibitisha hilo leosisi wazee wa Intelijensia
Askari hasinzii akiwa lindo huku akimiliki Ak47 mkononi.Msimuite jamani, muacheni huenda akasinzia![]()
![]()
![]()
Punguza mkwara!Mimi nikiwepo ni bora utafuteshughuli ya kufanya tu!
Hiyo 73k ni yangu kitambo
Sawa ntaenda kumcheki kwasasa naomba nidili na 73k kwanzaTayar Dany kashashushwa kule.
Ndo nmetoka kuisoma now
Jamani! jamani! mi mkitaja neno UCHAWI najikuta natetemeka bila sababu.Nmekuja kugundua kuwa ww ni mchawi.
Tena una uchawi wa Italy ulioridhi kwa Benito.
Yeah..
Sio mkwara, huo ndio ukweli.Punguza mkwara!
Kaoge sasaNgoja nile kwanza, nioge then nkishamaliza ndo nirudi hapa kuitwa post ya 73k