briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Hu hu hu nice one kaka, mwenyewe sikuifikiria hiyoWe jamaaa ni mjanja kweli yaan unataka uwe una kifupi cha BBC!!




Hu hu hu nice one kaka, mwenyewe sikuifikiria hiyoWe jamaaa ni mjanja kweli yaan unataka uwe una kifupi cha BBC!!




Tayar Dany kashashushwa kule.Kabisa kabisa
Nini tena mkuu, nimechafua hali ya hewa?Aaah hatari sasa hii
HahahaHu hu hu nice one kaka, mwenyewe sikuifikiria hiyo![]()
AaahNini tena mkuu, nimechafua hali ya hewa?

Hii sitakubali inipiteNaiona 73K ileeee
Mi naitwa Jimena Jimenes na nikisha![]()
tu tutaongezea lingine hapo mwishoni.....
Yani itakuwa Jimena Jimenes de la ....................
(Inatamkwa Himena Himenes )
aiseee!

Nmekuja kugundua kuwa ww ni mchawi.Nipo hapa kuwanyoosha
Ha ha utasubiri sanaaaNipo hapa kuwanyoosha
Marekebisho![]()
Limepita hilo
Briz Miguel Clinton
Ina maana namzidi Mshana jrNmekuja kugundua kuwa ww ni mchawi.
Tena una uchawi wa Italy ulioridhi kwa Benito.
hahahahah utang'olewa kucha bila ganzi mkuu oohooo!Hayo mapicha ya Fisiem yanakeraaaa sana kwa sisi tusio wafuasi wa huko
Hivi huo mkutano hauishi tu watu tuendelee na mambo mengine
Sijui ninukuu kile kingereza cha you can't give what..........![]()
![]()
![]()
hahaha jipeni moyo!!Ha ha utasubiri sanaaa
Asante sana si unajua tena kispanish nacho vile kilivyo romanticWaoh! What a lovely name... D😀😀:
Ha ha ha we una maono. Mi sikugundua hiiWe jamaaa ni mjanja kweli yaan unataka uwe una kifupi cha BBC!!
Itakuwa patashika