briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Zipo chief, hela yako tu... Karibu akina mwajuma nipe watakuhudumia ki professional kabisa [emoji4] [emoji4]Sawa, masaji zinapitakana huko?
Zipo chief, hela yako tu... Karibu akina mwajuma nipe watakuhudumia ki professional kabisa [emoji4] [emoji4]Sawa, masaji zinapitakana huko?
Halafu mzigo ni unlimited[emoji3] [emoji3] [emoji3]Leo spidi ya 4g
Nmeona leo jukwaa iko hot sana ukizingatia na riwaya inahitaj utulivu so we ukimaliza kusoma nshtue hata wasapu nije kuimwaga hapa JfAsante sana
Nimefurahi..... Lakini mbona sio episode 10 kama ulivyoahidi?
Na kwako pia mkuuUsiku mwema wote, ngoja nipaki mapema leo!
Ooh sorrySikumaanisha hadithi, alisema yuko dissappointed nkataka kujua ni kwenye area gan.. Hadithi ntasoma tu
NashangaaHili Chama liko vizuri sana,ukigeuka huku bitoz,ukiangalia mbele jimena, mussolin, briz, The name, jambilo, kikoba,lukesen, emm, amazing, lizzbettie, makaveli nk
Utaanzaje kuwa na huzuni kwa mfano
Cc szczesny
Acha tu.. yan hata vinyama vya kusingiziwa hakuna [emoji4] [emoji4]Mvutoles
My friend najisikia nkuchape kofi[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Na hapa ndo hatujatimia....... Sijui ingekuwa vipi wangekuwepo na wengine kama watano tuHii ni 5G
Itatisha hiyoNashangaa
Halafu sijui tuanzishe timu ya mpira???
[emoji15] Ntalalaje vzur wakat kishkwamb wng anaish kwaoHili chama haliboi ati, naamini utalala vizuri kabisa mkuu
Nimeshamaliza kusoma mbona,Nmeona leo jukwaa iko hot sana ukizingatia na riwaya inahitaj utulivu so we ukimaliza kusoma nshtue hata wasapu nije kuimwaga hapa Jf
Ndio maana yake sio watarijike wao tuHahahaaa.... Unataka tuwe tunagawana sadaka??
Dawa yako iko jikoni ww..
Safi sanaaaaHapana ni ya upelelezi
Tulipiga kura hadithi za upelelezi zikapata kura nyingi. Hii ya aunt Ezekiel ni ya 3
Huenda wamempunguza sio bure kabisaAcha tu.. yan hata vinyama vya kusingiziwa hakuna [emoji4] [emoji4]
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]Sikumaanisha hadithi, alisema yuko dissappointed nkataka kujua ni kwenye area gan.. Hadithi ntasoma tu
SanaaaItatisha hiyo
Hahaha ni kweli maji hayashtui nyongo kidogo ili akili ikae kimwendokasiOoh sorry
Basi nilichanganya cd
Maji nayo hayachangamshi akili ndio tatizo