EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Atakuwa ameenda Dubai kufata mzigo.Wapi Ibrahim msuya
Atakuwa ameenda Dubai kufata mzigo.Wapi Ibrahim msuya
Iko njema sana Mkuu. Vipi kwako!Safi kaka habar ya kupoteana
Asante sanaHongers sana
Umeipendea nini?Hahaha
Nimeipenda sana makabwela forum kwa kweli
TunakusubiriKesho lazima nije kutambariiing hapa kama kawaida yangu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
He he he he kazi ipoNa sasa kuna Makavu live forum...hahaha wonders shall never end
Ila usiwe una quote mkuu, unasoma tu maana unakuwa unawapa shida wale wenye kutumia simuStori iko vizuri. Kuanzia kesho ntaanza kuifuatilia. Keep up Mkuu.
Dah hiyo ni namba moko kweli kweli
Asante sanaWenu mtiifu nmeshaleta riwaya rayari, kama kna mapungufu au makosa ya kiufundi mnijuze.. mana am so disappointed
Nmefika hapa KF nikiwa nmepooza ila now niko happy mbayaaaPole sana kiongozi, popote kwenye rizki hapakosi hayo
Ni nani?Muondoe kwenye list huyo MAKAVU FORUM
........................
Watu wana hasira mnoTangu juzi jioni speed ni kubwa sana
Kali sana soma na hakika hutojutaNi nini hasa mkuu.. mapenzi,kazi au jamii?
Acha nikaichungulie siwezi kuhadithiwa tuNdio mkuu...nimecheka sana