Ha ha ha ha*Another weekend is gone, your friends are getting married and you are still there claiming all men are players... keep waiting you will marry a referee!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
by Robert Mugabe.
Leo katika Historia:
1903 - Kampuni ya Magari ya Ford yauza gari lake la kwanza.
Leo katika Historia:
1929 - Dikteta Benitto Mussolini wa Italy apiga marufuku matumizi ya lugha za kigeni nchini Italy.
Leo katika Historia:
1925 - Quett Massire anazaliwa.
Ni makamu wa Rais wa zamani hukoBotswana.
Leo katika Historia:
1972 - Giovani Elber anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Brazil.
Leo katika Historia:
1992 - Danny Ings anazaliwa.
mchzaji wa Liverpool na timu ya taifa ya England.
Leo katika Historia:
1892 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa Ethiopia, Haile Selassie.
Pia ni siku ya Rastafari duniani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji3]*Another weekend is gone, your friends are getting married and you are still there claiming all men are players... keep waiting you will marry a referee!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
by Robert Mugabe.