Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 1#
Madiba pia alionesha mapenzi makubwa kwa mazingira. Nakumbuka siku moja tukiwa tunatazama mazingira ya ziwa manyara na aliniambia kwa masikitiko kwamba mazingira yale ya kijani kibichi ndio yalikuwa mazingira ya kwao kabla hajaenda gerezani. Alisikitika sana kwamba mazingira hayo yameharibiwa kwa kisingizio cha maendeleo.
Haya yalisemwa na na barozi Ami Mpungwe alipokuwa akimweleza Rais wa kwanza wa Africa Kusikia(mweusi) Nelson Mandela, aliyeiongoza nchi hivyo kuanzia mwaka 1994 hadi 1999.

Mandela alifariki Dunia Dec 5,2013. Barozi Mpungwe alizaliwa mwaka 1950 na aliwahi kuwa barozi wa wa kwanza wa Tanzania nchini Africa kusini, baada ya Mandela kuchaguliwa kuongoza taifa hilo
Namfahamu vyema sana balozi huyu
 
1469260592775.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom