Ha ha haMWANAMKE WAMAREKANI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA KANSA,
MWANAMKE WA URUSI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MALARIA
NA MWANAMKE WA CHINA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE, UNA MAFUA
*_MWANAMKE WA TANZANIA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE SINA HELA_*
.............
Nahisi kwenye madukani yanayouza kameraZinapatikana wap hizi? Nazihitaji kwa matumizi binafsi
Ndugu yangu kwemaMkuu nafurahi kuwaona...
Wanawake kwa hela bhana!!! They don't care zinapatikanaje!!!....Mh!!! Kazi tunayoNdio,
Alikuwa fighter sana ye na yule bi mkubwa Griselda Blanco pamoja na Alvaro
Huu ni ukweli ulio UCHI!!!MWANAMKE WAMAREKANI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA KANSA,
MWANAMKE WA URUSI UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE UNA MALARIA
NA MWANAMKE WA CHINA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE, UNA MAFUA
*_MWANAMKE WA TANZANIA UKITAKA KUMTISHA MWAMBIE SINA HELA_*
.............
Njoo nikufundise mi nafundisa iyoAnajiweza, wengine wanakuwa hoi hata kunyanyua mguu hawawezi.
Liverpool hiyo ilikuwa na magarasa mengi akiwemo Andy Carroll.Dah!!! Huyu jamaa kuna kipindi alichemka akiwa Liverpool!!!
Wazee wa dona!!Huyu ameua watu wengi sana kwa unga wake!
Club inahusisha wachezaji, makocha, viongozi na rasilimali vifaa.Naomba kuuliza,
Club ni nini na team ni nini.?!
Hahahaa subiri nipate mimba nitakuchekNjoo nikufundise mi nafundisa iyo
Na juzi kati kuliokotwa mabilioni ya dola na mkulima fulani huko huko Colombia ambazo pia ziliaminika kuwa ni za Escobar
Hii ilikuwa inatisha VibayaView attachment 369252
Kutoka hawa hadi kuwa combination ya akina Takuma na Giroud ArsayNO ndo wabebe kombe
.........
Njoo nikugieHahahaa subiri nipate mimba nitakuchek
Au upo mtaani unacheza kombolera, anakuja mtu kutoka nyumbani anakuambia Ole wako nikukute mikono yako michafu, kumbe unatakiwa kwenda kulaKitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika
1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : Joniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule
2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama
3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako
.........
SembeWazee wa dona!!
Hii ilikuwa inatisha Vibaya