Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Nzuri, habari ya jioni?Ndugu jamaa na marafiki nawasalimu sana.
Nzuri, habari ya jioni?Ndugu jamaa na marafiki nawasalimu sana.
Salama kabisa mkuu nafurahi kuona kijiwe kikiwa kimechangamka hivi.Nzuri, habari ya jioni?
Kile kilichomtokea huyu dada kulikuwa na uwezekano mkubwa kujitoa uhai.View attachment 368839
Hii ni kweli?
Bitoz umepitia vitimbwi vingi sana inaonekana
Ucheshi ndo tabia/asili yanguBitoz umepitia vitimbwi vingi sana inaonekana
Nimekupata vizuriUcheshi ndo tabia/asili yangu
............
Chama la Wana hilo