briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Nipo loose tu ukihitaji kampani ya kula napatikana

Nipo loose tu ukihitaji kampani ya kula napatikana

Ha ha ha hiyo picha nimeikuta mahali tu nikaona sio vizuri niishie kula kwa macho peke yanguNipo loose tu ukihitaji kampani ya kula napatikana![]()
![]()

Duh si unajua tena hii ndo ile mida, nlishaanza kuandaa space kwa tumbo yanHa ha ha hiyo picha nimeikuta mahali tu nikaona sio vizuri niishie kula kwa macho peke yangu
ndo nikaileta hapa ili tutamani wote![]()
![]()
![]()

Ilipostiwa sehemu flani toka jana ila sikuthubutu kuifuta hiyo pichaDuh si unajua tena hii ndo ile mida, nlishaanza kuandaa space kwa tumbo yan![]()
![]()
![]()
![]()
Sijaaelewa hapa ni kwamba vocha zinaenda kwa Jimena au ni sandakalawe kama ulivyofanya majuzi?Daaah kwa heshima hii itabidi vocha zije, thanks Jimena

Binti hicho sio kitimoto kweli??
Sasa hapo sijui ulitumia njia ganiNakumbuka pale sec school...lesson za mathematics magwiji wanabishana kama answer ilikua 3 ama -3 muda huo wewe umepata 41.![]()
![]()
Hapo ndio unajua disabled si yule aliyekaa kwa wheelchair pekee yake.
![]()
![]()
![]()
![]()

Acha tu ndugu yanguBinti hicho sio kitimoto kweli??
Umeonaeeh!!!Namba nazo ni sheeeder
Sandakalawe tu, mi wala sijawahi kupata hizo voucher...... Pambe tuSijaaelewa hapa ni kwamba vocha zinaenda kwa Jimena au ni sandakalawe kama ulivyofanya majuzi?![]()
![]()
Hayo yalishanikuta sana wala sishangaiSasa hapo sijui ulitumia njia gani![]()
![]()
![]()
Nimejikuta natamani hiyo menu sidhani kama ntaishinda hii tamaa leoIlipostiwa sehemu flani toka jana ila sikuthubutu kuifuta hiyo picha
Usiulize ndugu yangu....kanuni zero!!!Sasa hapo sijui ulitumia njia gani![]()
![]()
![]()

hahahaha huu sasa uchokozi.Nakumbuka pale sec school...lesson za mathematics magwiji wanabishana kama answer ilikua 3 ama -3 muda huo wewe umepata 41.![]()
![]()
Hapo ndio unajua disabled si yule aliyekaa kwa wheelchair pekee yake.
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi nimeshakutana na nyakati kama hizo sanaaaa yani wala hazina idadi, kwanza hata D pia sijui niliipatajeUmeonaeeh!!!
Mkuu za kuadimika ama wamekupanga kamati ya maandalizi dodoma?Binti hicho sio kitimoto kweli??


Pole Sana mkuu,afu unakomaa kama unalielewa vile..Hayo yalishanikuta sana wala sishangai

Icho ni kitivuguvugu mkuu.Binti hicho sio kitimoto kweli??