Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,636
Umevaa kitu labda raba au jeans, anatokea mtu anakwambia Umenunua sh. ngapi?
Mi nawaambiaga nimeokota.....sipendi maswali ya kipelelezi
.........
Umevaa kitu labda raba au jeans, anatokea mtu anakwambia Umenunua sh. ngapi?
Hiyo hata mi sipendi kabisa, maduka anayajua ila basi tuuUmevaa kitu labda raba au jeans, anatokea mtu anakwambia Umenunua sh. ngapi?
Hilo jibu kiboko kabisa![]()
Mi nawaambiaga nimeokota.....sipendi maswali ya kipelelezi
.........
Dah hakuna swali la kishamba kama hili mi huwa nakosaga jibuUmevaa kitu labda raba au jeans, anatokea mtu anakwambia Umenunua sh. ngapi?
Ni wazushi hawana mpango wa kununua ....wanataka kujua matumizi yako tuHilo jibu kiboko kabisa
Baada ya hapo anakuganda umuuzie
Hivi kuna watu bado wanafikiri kwa kuwa nguo flan imempendeza flan bas na ye itakua hivyo hivyo ??Hilo jibu kiboko kabisa
Baada ya hapo anakuganda umuuzie
Mashoga ndio wenye mademu![]()
Bitoz una demu?
Kwani Mimi shoga
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............

sio kivileWe nae inaonekana kwenye sekta hiyo haupo nyuma
hiyo kali...![]()
Mi nawaambiaga nimeokota.....sipendi maswali ya kipelelezi
.........
Utadhani wanakusaidia kutafutaNi wazushi hawana mpango wa kununua ....wanataka kujua matumizi yako tu
..........
Hasa kwenye mambo ya simu...upuuzi huo upo sana!!Hiyo hata mi sipendi kabisa, maduka anayajua ila basi tuu
Tena akishauliza bei baadae anakwambia naomba uniuzie
Watakosekanaje sasa kwa mfano???Hivi kuna watu bado wanafikiri kwa kuwa nguo flan imempendeza flan bas na ye itakua hivyo hivyo ??
Hujaelewa........swali la kipuuzi lileMashoga ndio wenye mademu![]()
![]()
Tiko PoaWakuu natumain woote mko poa
Na wamiss sana

Ooh hapo nimekusoma sasaHujaelewa........swi la kipuuzi lile
Mtu nzima na anakuuliza vile km ni demu si aseme km ananizimia.....Km ni xume aache umbea
............