lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ni ukweli mtupuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu ni ukweli mtupuu
Asante! Yuko poa kabisaMe more, braza mzima?
Ni kweli kabisa, itabidi nifanye hima nijiunge pale alliance france mana naona napelea u-romantic [emoji4] [emoji4]Hiyo lugha iko very romantic
Utaelewa tu,bitoz tena[emoji111] [emoji111]
Lizzie ni brother??Me more, braza mzima?
Mi nilikisoma form 1 ila sikutilia maanani na hiyo ndo sababu sikijui mpaka leo[emoji134]Ni kweli kabisa, itabidi nifanye hima nijiunge pale alliance france mana naona napelea u-romantic [emoji4] [emoji4]
yap...maana haitoi ile jasho ya glasiHalafu inaonekana ni ya moto.....
Ile comma pale kati ndo imebeba maana nzima isingekuepo sentence ndo isingeeleweka si unaona mwenyewe kaelewa [emoji4] [emoji4]Lizzie ni brother??
Au unamuulizia th name?
Haha kweli aiseeUtaelewa tu,bitoz tena
Ndio na mapovu pia yamezidi[emoji85]yap...maana haitoi ile jasho ya glasi
Ndio alielewa bila shidaIle comma pale kati ndo imebeba maana nzima isingekuepo sentence ndo isingeeleweka si unaona mwenyewe kaelewa [emoji4] [emoji4]
Haha hizi lugha kujifunza ni interest kama huna inakua kaaaz kweliMi nilikisoma form 1 ila sikutilia maanani na hiyo ndo sababu sikijui mpaka leo[emoji134]
Ni juice ya nin?View attachment 367326
Kwa faida yenu muijaribu hii
kweli kabisa...Ndio na mapovu pia yamezidi[emoji85]
Umevaa kitu labda raba au jeans, anatokea mtu anakwambia Umenunua sh. ngapi?
Mi napenda kispanish sanaaaaHaha hizi lugha kujifunza ni interest kama huna inakua kaaaz kweli
Coriander / GiligilianiNi juice ya nin?
We nae inaonekana kwenye sekta hiyo haupo nyumakweli kabisa...