Huwezi kuyazuia mafuriko kwa mikono!!Siondiki hapaaaa
Tutakomaaa hapa hapaaaa
Hatuwezi kukuachia ww kila siku uwe unashinda tu
HongeraaaaaaaHana maajabu
Daaaah unatisha sana mkuu, nimekunyooshea mikono aiseeNani anabisha sasa?
Ahsante...mimi ni mteule!!Daaaah unatisha sana mkuu, nimekunyooshea mikono aisee
Daaaah hongera mkuu nimeifukuza sanaaaJe kuna maswali?
Ahsante!!Daaaah hongera mkuu nimeifukuza sanaaa
YapoJe kuna maswali?
Hongera sana we ni mkali chiefJe kuna maswali?
Huyu jamaa ni hatari sana hata ile ya 50k ilikua hivihivi yanDaaaah hongera mkuu nimeifukuza sanaaa
Hivi inakuwaje hata mimi niliona nimeinyaka hadi nkashangilia?Mussolin5 hujanifitini kweli mana nlishaona yangu imeandika 70k kabisa sa sijui imebadilikaje tena
![]()
Sawa...Mkuu hii haifai miongoni mwetu hebu futa, utani uwe na mipaka NAKUOMBA
Jonax hebu niambie hiyo breed gani?
Aaah nilikuwa nakutania ili upunguze speed ya kusaka 70k, ni jibu hapo juuOk, ngoja niendee![]()
![]()
![]()
![]()